MUNGU WA IBRAHIMU MUNGU WA ISAKAµ — Cantiques EUJC

N° 525

MUNGU WA IBRAHIMU MUNGU WA ISAKAµ

1.

Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, ulitenda mambo ya ajabu awali kwa walio wako, ulitenda mambo ya ajabu yoyoyo kwa walio wako (ata kwa sasa) utende mambo ya ajazu yoyoyo kwa walio wako.

Refrain

Eh Mungu, unifariji katika uweza wako, unifariji

Eh Baba, unifariji katika uweza wako, unifariji

Eh Mwana, unifariji katika uweza wako, unifariji

Eh Roho, unifariji katika uweza wako, unifariji

2.

Mungu kwa maajabu yako, Danieli pangoni mwa samba wala umizo wala ukovu aukujirika mwilini mwake “ila Danieli akasitawi kwa utawala wa Dario na Kiro mupersi”

3.

Muti murefu ukajirika mulinzi toka mbingu akaukata “munyororo ukaufunga na umande wa mbingu ukaotesha”.

Mungu wa uzima utende mambo ya ajabu yoyoyo kwa walio wako (hata kwa sasa) utende maajabu yoyoyo kwa walio wako.