N° 526
MUCHUNGAJI MWEMA UNENA
1.
Muchungaji mwema unena wote walio nitangulia “ni wizi na wanyanganyi apa duniani” (wote) tuondokeni wote utumwani tumufwate Yesu (X2)
Refrain
(Eh watu) watu ufanya viashara kwa jina la Bwana
Wa Baba wa baba mutoleeni Mungu wetu vitu
Wa mama wa mama mutoleeni Mungu wenu vitu
« Watu awa wamepotea kwa ajili ya vitu »
2.
(Kondoo), kondoo njema iliyo chaguliwa usikiya, hunifuata pia huingia na kutoka juu ya mioyo ya watu “(wote) tuondokeni wote utumwani tumufuate Yesu” (X2)
3.
Muchungaji wote wa mushahara yu na azina, yu na kiti, yu na fahari, yu na ufalme apa duniani “(wote) tuondokeni wote utumwani tumufuate Yesu”(X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Wavala makoti awasikiye yoyoyo awaamini
Watu awa awasikiye yoyoyo awaamini
Wavalamitama awasikiye yoyoyo awaamini
Wa vula viato awasikiye yoyoyo awaamini
Wa swalaa awasikiye yoyoyo awaamini
Watu awa awasikiye yoyoyo awaamini