N° 527
SAUTI YA ABELI TOKA SHAMBANI
1.
Sauti ya Abeli toka shambani ikalia shambani umo, shambani mwa Bwana (ee baba), “nime uwawa bule nime uwawa na Kaini (X2)
Refrain
Ndugu tunafia nini, kila mutu na zawadi yake mbele yake Mungu, ata ukila na kunywa, ata ukila na kunywa kwangu mimi si kitu, (kweli si kitu baba) sitaiga mutu
2.
Nilipokuwa umo shambani, nilipokuwa shambani mwa Bwana nilichukuwa gongo sikuchukuwa upanga, ila Mungu pekee yake alikuwa mwamuzi wangu, “gongo langue ee Baba limeongoza kondoo za Bwana” (X2)
3.
Yule joka akisha kwaribu, utafuta ufariki na nani (kweli) “yu paa mbinguni, yu shushwa duniani utafuta ufariki na nani”(X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand