NITAZAMAPO UDUMA ULIO FANYA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 528

NITAZAMAPO UDUMA ULIO FANYA MUNGU

1.

Nitazamapo uduma ulio fanya Mungu kwa mikono yako hapa duniani (ee mimi) “sina na furaha mu mambo yote ya uzima yangu apa duniani” (X2)

Refrain

Mungu akaumba mbingu na dunia, mito na bahari kubwa kazi ya mikono yake Mungu wangu mpaka wewe akuna mwengine

Commentaire

Mungu muumbaji mpaka wewe akuna mwengine

Tegemeo langu mpaka wewe akuna mwengine

Kimbilo langu mpaka wewe akuna mwengine

Mafundisho bora mpaka wewe akuna mwengine

Mwamba ni Baba mpaka wewe akuna mwengine

2.

Mungu unitoe ku watu wa dunia ili nisione tabu ya mwisho wa dunia “(ee wewe) wewe ulitowa Mwana wako wa pekee ili kila amwaminiye asife kamwe”(X2)

3.

Kama ukiapa kwa Mungu wako usisite kamwe ulipe ahadi yako “(ee yeye) yeye afurahi juu ya wajinga turejea kwake tulipe ahadi yake” (X2).