YAWE YOYOYO AH YEWE — Cantiques EUJC

N° 531

YAWE YOYOYO AH YEWE

1.

Yawe yoyoyo, ah (X2) (Yawe), Yawe apendi kamwe wao wajikuzao wamuimidi Bwana na roho dhamilifu (X2).

Refrain

(Wakavuka bahari makubwa) wanenda kwa miguu (X2) yoyoyo

Wakaenda wakaenda wamushujudu Mungu

(Njaa kubwa nayo ikawashika) Bwana akawalisha (X2) yoyoyo

Wakaenda wakaenda wamushujudu Mungu

(Wakapotosha Musa mu jangwani) Bwana akawaokowa (X2) yoyoyo

Wakaenda wakaenda wamushujudu Mungu

2.

“Aibu yoyoyo ah (aibu), aibu ikawashika wao wajikuzao wamuimidi Bwana na roho dhamilifu (X2).