N° 532
NDUGU WAGENI SIMAMENI WOTE
1.
Ndugu wageni simameni wote tuwapokee tuwasalimu (ee katika) “katika jina la Bwana Yesu, Mwokozi wetu na Bwana wetu”
Refrain
Eh Mwokozi, Mwokozi wangu pokea sadaka yangu, ninakusifu ewe Muumba Wangu (X2)
2.
Eh Bwana Mungu ninakuomba kwa ajili ya awa wageni awa “uwapokeye nyumbani mwako wapate nao kula na kunywa”
3.
Binti ya Farao amekuja leo kwa kujiosha katika maji, umuongoze amuone Bwana aliye fichwa miezi mitatu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand