BWANA ALINITEULA TANGU UJANA WANGU — Cantiques EUJC

N° 533

BWANA ALINITEULA TANGU UJANA WANGU

1.

Bwana aliniteula tangu ujana wangu, jamani mwangu kwa kumuimidi, muchana kutwa yoyoyo ndege za nyimbo zaimba Jehova (utukuze Mungu) ndege za nyimbo imba Jehova (X2)

2.

Ndege za nyimbo muteule kumutukuza Mungu, nipigwapo wala kushutumiwa, (uduma) sitaacha kamwe yoyoyo ndege za nyimbo imba Jehova, (utukuze Mungu) ndege za nyimbo imba Jehova (X2)

3.

Mimi nalichagua uduma nzuri (uduma) kazi nitakayo ifanya hata mbinguni (ee kazi gani) ya kumuimidi muchana kutwa yoyoyo ndege za nyimbo imba Jehova. (Tukuza Mungu) ndege za nyimbo imba Jehova (X2)

Commentaire

Sitaacha kamwe ndege za nyimbo imba Jehova