SAUTI YA MUTU MMOJA IKASEMEWA JANGWANI — Cantiques EUJC

N° 536

SAUTI YA MUTU MMOJA IKASEMEWA JANGWANI

1.

Sauti ya mutu mmoja ikasemewa jangwani (tengeneze) tengenezeni njia ya Yesu, Mwana wa Mungu wa uweza (X2)

Refrain

(Tengenezeni wote ee) njia ya Bwana Yesu (X2)

(Wajoli angu) vunjeni milima yote, jazeni mabonde yote, nyosheni mapito yake, salama njiani pote (X2)

2.

Yoane alimubatiza Mwana Mungu wa uweza “(sauti) sauti ikatoka mbingu uyu ndiye Mwana wangu”(X2)

3.

Yoane alikuwa alikuwa amevaa singa za ngaamia “(na mushipi) na mushipi kiunoni mwake akala nzige na asali (X2)