N° 538
MASWALI YOTE YA DUNIANI
1.
Maswali yote ya duniani ya ukumiwa kwa matendo yao “uzuni ni nayo sile wala sinywe moyoni mwangu munayo sikitiko
Refrain
Yoyoyo mateso yoyoyo mateso moyoni mwangu yani uzinisha,
Ningeli fahamu kweli mimi singelizaliwa, ah ningelifariki tumboni mwa mama yangu ili nisione mateso ya duniani iyi. (X2)
2.
Wakati mimi nilipo zaliwa wazazi wangu na watu wengineo “walifurai na wakanywa pombe leo iyi watu awa wameuzunika”
3.
Nikalaaniwa kwa siku zile nilipo zaliwa tumboni mwa mama yangu, na maziwa ya mama yangu yalikuwapo kwa mimi ku nyonya, “giza ikawa inchini pote kwa siku zile nilipo zaliwa”
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand