HUMO NJIANI MWA BWANA — Cantiques EUJC

N° 539

HUMO NJIANI MWA BWANA

1.

Humo njiani mwa Bwana muna visiki na magogo “vinavyo angusha wengi ili wasifike uku mwisho” (X2)

Refrain

Kweli Jehova Mungu usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

Kimbilio langu usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

Baba katika mateso usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

Tumaini langu usiniache yoyoyo usiniachilie Bwana

2.

Ngurumo uvuma uja juu yangu mimi munaziri wa Mungu yoyoyo « bahari nayo unigarikisha mimi napotea » (X2)