N° 54
ENYI WANANGU WA CHANGA
1.
Enyi wanangu wa changa sikieni vinene via huduma , Abeli mutu wa kwanza yeye amemuzaa Kaini pia na Abeli .
Refrain
Kilio e kilio e kilio baba , kilio e Abeli kalia baba , Kaini amenuwa , sikuwa upanga si kuchukuwa mali za shamba , amenuwa bure ngongo langu eh baba limeogoza kondoo za mungu . Ngongo langu e kristo limeongoza kondoo za bwana.
2.
Siku ya sadaka yao mbele yake mumbaji wenye watu .
Commentaire
Com :-Abeli mutume wa neno mumbaji wenye watu -Abeli mafundisho nzuri " -Abeli mutume wa haki " -Kaini mutume wa uongo " -Kaini mafundisho ya mwili" -Kaini mwalimu mubaya "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Chuki mu shamba : Adamu mutu wa kwanza yeye amemuzaa Kaini pia na Abeli -Wivu mu shamba : " " " " " " " " " " " " " " " " " "