NENO LA JEHOVA LILIKUJA KWAKE YONA — Cantiques EUJC

N° 540

NENO LA JEHOVA LILIKUJA KWAKE YONA

1.

Neno la Jehova lilikuja kwake Yona ku nena ivi mabaya ya watu yamefika machoni pangu « nani wangu awambiyeyo kwa kujitengeneza »(X2)

Refrain

Wakafiri watu awa wapiga kura, kura ukapata muhubiri wa Mungu yoyoyo Kura ikapata muhubiri wa Mungu

Kura ya Yona kura ikapata muhubiri wa Mungu yoyoyo kura ikapata muhubiri

2.

Bahada wakamuuliza sisi tukufanyie nini « kwa habari iyi kubwa inatujia » « nani wangu awambiayo kwa kujitengeneza » (X2)

3.

Munikamate munitupe mu maji (X2) « ivi vyote vitaka kuja ni kwa ajili yangu » « nani wangu awambiayo kwa kujitengeneza » (X2)