N° 546
SHETANI UVUTA YESU
1.
Shetani uvuta Yesu uvuta ewe itaji unapo enda (X2)
Refrain
(Bwana Mungu) mimi ni mikosefu duniani Bwana wangu Bwana wangu unirehemu (X2)
2.
Wengi, wanaupendeleo kwa wajoli wao, Bwana wangu unirehemu (X2)
3.
(Sina), haja na marafiki wa ulimwengu Bwana wangu unirehemu (X2)
4.
(Mara) marafiki wema ni malaika wa mbinguni Bwana wangu unirehemu (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand