N° 550
ABRAHAMU ALIKUWA MWANA WA MTU MKAIDI
1.
Abrahamu alikuwa mwana wa mtu mkaidi (X2) (yoyoyo) “mkaidi kweli mkaidi tangu awali”
Yoyoyo “Bwana akapenda Abrahamu kamutowa nyumbani mwa baba ye” aka mutowa ili wote wafanye uduma nzuri” (X2)
Refrain
(Wajoli) uduma uduma wa Baba uduma uko miongoni mwetu (X2) “(uduma za Bwana) uduma uko miongoni mwetu twajizuiza kuitimiza”(X2)
2.
Bwana akamwambia Abrahamu mwanangu (X2) “toka wewe katika inchi yako toka wewe nyumbani mwa baba yako” “nitakufanya wewe kuwa baba wa mataifa nawe uwe Baraka”(X2).
3.
Njaa kuingia inchini Abrahamu kashuka na muke wake Sarai kushukia Misri yoyoyo na mke wake Sarai kushukia Misri “wewe ni mke mzuri sana wamisri wa siniuwe” “uwe dadangu yoyoyo ewe mke wangu mimi nisije nikafa yoyoyo na wamisri hawa” (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand