MUNGU AKATUMA WATU KWENYE IBRAHIMU — Cantiques EUJC

N° 551

MUNGU AKATUMA WATU KWENYE IBRAHIMU

1.

Mungu akatuma watu kwenye Ibrahimu mukamuharifu Sara atazaa (X2)

Refrain

Sara kacheka eyi, eyi, hehe!! Mungu wangu mimi niko mukongwe Mungu nitazaa je (Mufalme wangu) mimi niko mukongwe Mungu nitazaa je.

2.

Hapo Sara alipo baki akachuwa mimba aliporejea Jehova Sara akazaa (X2)

3.

Hii ni nguvu ya Mungu kuwaonesha watu kwa mke huyu mukongwe akazaa mwana (X2).