YAKOBO AKA AMKA USIKU ULE — Cantiques EUJC

N° 552

YAKOBO AKA AMKA USIKU ULE

1.

Yakobo aka amka usiku ule kachukuwa wake wawili “na vijakazi na watoto kuwa vusha Yaboki”

“Naye Yakobo aliachwa pekee mtu kushindana naye akagusa paja lake muvunguni ukashitushwa”

Refrain

Uniache nende mimi sita kuacha unibariki

Yakobo uniache nende mimi sita kuacha unibariki

Bwana kanena, Yakoba akajibu, uniache nende sita kuacha unibariki

Kweli Yakobo wangu mimi sita kuacha unibariki

2.

Jina lako nani mujoli yoyoyo jina langu Yakobo hutaitwa Yakobo utaitwa Israeli « kashindana na Mungu pia na watu ukawashinda » (X2)

3.

Nimemuona Bwana uso kwa uso « pahalijapa Penueli nimepatauzima » (X2).