TWIMBENI SHANGWE — Cantiques EUJC

N° 553

TWIMBENI SHANGWE

1.

Twimbeni shangwe kwa mutawala na Bwana « yeye mufariji wetu utukufu uwe juu » hata Enoka mtu wa saba tangu Adamu alitabiri uweza wake « utukufu tele na rehema nyingi tangu milele na kwa siku za Lutu » (X2).

Refrain

Enyi wajoli twagizwa twasita ee twarifu wakwe wetu twa kawia twashikwa kwaa nguvu twatoshwa hata inje ya muji.

« Basi tuondoke haraka mujini tukimbiye tusiunguwe tusiangalie nyuma tusisimane tukaketi milimani ».

Commentaire

Baba ondoka haraka mujini

Mama ondoka haraka mujini

Kaka ondoka haraka mujini

2.

Watu wale wakamwambia Lutu ondoka haraka twaharibu muji japo aliarifiu wakwe we lakini walimuona mwenye ziakaaa, kumbe undoka mujini haraka ukimbie « usiunguwe ushike njia hata milimani usiketi zowari ».

3.

« Jua lilikuwa limepanda juu ya inchi wakati Lutu alikuja kwa Zoari »

Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto kutoka mbinguni

Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto mbinguni

Kwa ajili ya uchawi eh ee ee

Sodomo na Gomora eh ee ee

Sodomo ikalungula eh ee ee

Halafu baba akanyeshesha kibiri na moto kutoka mbinguni.