N° 554
WANA WAISRAELI KWELEKEA INCHINI MWA KANANA
1.
Wana wa Israeli kwelekea inchini mwa Kanana (X2) wakakuta Balaka mumoabu, waka tuma wajumbe kwa Balama “nabii wa Mungu ili alaani Israeli wa Mufalme”.
Refrain
Nangojea ahadi, nagonjea ahadi eh mimi nangojea Roho wa Mungu sitaki shuguri za watu, nangojea mufariji mwema nipate wokovu.
2.
Balama mwana wa Beule akaamka alfajiri hili la Misri, Jehova kamujibu usijaribu kwa tendo kwa tamko kulaani wapakaliwa mafuta.
Hata kwa tamko
Hata kwa tendo
3.
Kwa tama zake mbaya Balama akachukuwaa ngombe saba za wana wa Moabu ili alaani Israeli (Balama) “akaamka asubui, akapandia punda wake kwelekea mazabao”.
(Punda wa Balama) akamuonya yoyoyo usikufuru Mungu wako
(Mungu ujirika mu punda) akamuonya yoyoyo usikufuru Mungu wako
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand