NIMESONGWA SAANA MUNGU WANGU NA MADUI AWA — Cantiques EUJC

N° 558

NIMESONGWA SAANA MUNGU WANGU NA MADUI AWA

Refrain

Nimesongwa saana Mungu wangu na ma adui awa (maadui hawa) (X2)

Mu neon lako nisemapo nimesongwa saana, kwa matendo yako ya uweza nimeshutumiwa (X2)

1.

Uzuni na taabu Mungu wangu ni chakula “machozi kilio Mungu wangu ni kila siku”(X2)

2.

Nialike nani Mungu wangu mu dunia yote « Pilato, Kaizari wamenitatiza, na Yudas naye ni tayari kwa kunisaliti” (X2)

3.

Uduma huo Mungu wangu ni wa Mungu Baba achene Mwana ndugu zangu atukuze Baba, ili Baba naye atukuze Yesu Mwana wake (X2).