N° 559
NIFIKILIAPO MAPENZI NILIYO PENDWA MIMI
1.
Nifikiriapo mapenzi nilioyo pendwa mimi na wajoli wote wa duniani “(walozi) pia na wachawi hunipenda ili mimi niwe mushirika wawo” (X2)
Refrain
Baba kwa upendo wako pia na rehema yako
Mungu wangu bila wewe kama jehanamu ni yangu
2.
Wewe ulituma nabii Musa ili atutowe utumwani mwa Farao, wewe ulitowa mwana wa Nuni utuingize inchini ya ahadi (X2)
3.
(Kristo), Kristo ni yote ndani ya yote kwa ajili yake tupo leo na uzima (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Ni uchawi wangu bila wewe kama jehanamu ni yangu
Kusengenya kwangu bila wewe kama jehanamu ni yangu