N° 560
YUSUFU NDUGU YA BENYAMINA
1.
Yusufu ndugu ya Benyamina mwana wa Rakeli « alivikwa joo nzuri ya rangi mbalimbali » (X2)
Refrain
Wakristo wapenzi tudumu ndani ya Neno, wakristo wapenzi tudumu ndani ya Neno (Mungu wetu) atawapa kila mutu zawadi zake « (chuki) na wivu vimeleta aibu na ziki ».
2.
Miongoni mwa wale tena shara wana wa vijakazi « walichikiya Yusufu kwa kazi aliyo fanya » (X2)
3.
Tazama kwa wivu wao wengi kuchafua joo lake « wakamuuza Yusufu asiishi na babaye » (X2)
4.
Baada ya kushinda majaribu ata ndani ya gereza « Yusufu ni mufalme katika inchi ya Misri »(X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand