ALIKUWA MUTU YOANE — Cantiques EUJC

N° 564

ALIKUWA MUTU YOANE

1.

Alikuwa mtu Yoane alitumwa na Bwana kwa kufanya kazi ya habari njema kwa kutengeneza njia ya Yesu mwana wa Mungu, Herode akafunga Yoane kwani alumwambia si vema uchukuwe mke wa ndugu yako, hekima ya duniani usishirikiane nayo ni mauti.

Refrain

Ila kwa kucheza kwake Yoane yoyoyo, Yoane alafa

Kwa ajili ya Herode Yoane yoyoyo, Yoane alafa

Ila kula na kunywa Yoane yoyoyo, Yoane alafa

2.

Yoane yuko gerezani habari ya Yesu ikamujia akatuma wafuasi ili wamuulize Yesu naye akawajibu wafuasi mwende mumwambie Yoane, vipofu uona, viwete kutelbea, wenye ukoma kutakaswan viziwi nao kusikia, wafu wamefufuliwa kuarifu watu wengine Neno la Mungu.

3.

Usitazale mujoli wako wapona kuarifu wewe, usiwe nawe Herode amekwisha funga Yoane aliyetumwa na Mungu wa Uzima kwa kumutumikia yeye, tazama rafiki yako ndie Yule balasto, usiishi nay eye kwa ajili ya chakula kerubi wa Mufalume atakuharibu haraka vidudu vitakukula.