SISI TU ASKARI WA YESU KRISTO — Cantiques EUJC

N° 565

SISI TU ASKARI WA YESU KRISTO

1.

(Sisi) sisi tu askar iwa Yesu Kristo twanena vitani ya habari njema Bwana atufariji (X2)

Refrain

Basi vaeni silaha za vita za habari njema eeh watu wamujue Yesu wa Mungu nao wamuamini (X2)

2.

(Maadui), maadui wapo na maandishi ya uongo kwa kupotosha wafuasi wao wahuni wasimuche Mungu (X2)

3.

(Tuombe), tuombe uweza kwa Jehova Mungu Baba atufarijo kama vile Israeli zamani zile (X2)