N° 567
SIKUWA NAJUA MANENO YATAKAYO NIJIA
1.
Sikuwa najua maneno yatakayo nijia, mateso makubwa yaka nijia bila kujua ila Mungu tumwimbiye siku zote yeye anajua, « kwa kumaliza mateso yangu ila kwa rehema » (X2)
Refrain
(Sita laumu) sita laumu mtu kamwe hata akiwa muovu sita regeza moyo wangu na kuharibu uzima wangu, Mungu wa uzima nisikie ninapo kuomba Baba muumbaji nisikie nisi aribike (X2).
2.
Sinayo furaha kwa mambo nilio nayo « uburudishe nafsi yangu Bwana wa rehema » (X2)
3.
Tunayo hukumu kwani twapinga Bwana, sisi, tusimupinge Mungu wa uzima kwa ajili ya taabu ni kwetu sisi, « na kuzifuata njia zingine, njia za mauti » (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand