N° 568
TWASIMAMA MALANGONI
1.
Twasimama malangoni kungoja ndege wa mbingu « wajoli njooni Mufalme ndiye ukualika » (X2)
Refrain
Tujitengeneze Baba yangu kilio kitakuwa na kusaga kwa meno wajoli, « wakati ule yoyoyo kilio kitakuwa » (X2)
2.
Wenda ujifuraisha na shuguli za ulimwengu wajoli, « wenda unena mimi simba mujoli wao wa chui » (X2)
3.
Wenda unena, siwezi kumufuata Yesu wa Mungu utakapo fariki roho itaenda wapi » (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand