UWOVU ULIKUWA DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 57

UWOVU ULIKUWA DUNIANI

1.

Uwovu ulikuwa duniani , " Mafikili ya watu ya karibika noa jenga safina "2x

Refrain

-Garika ku mbingu Eh noa uwaingize safinani viumbe viote vikaribika noa jenga safina.

2.

Safina ikaendelea juu ya uso wa maji " ikashinda milima yote garika ika koma "2x

3.

Noa toa kunguru atoke akajaribu kazi yake akikula vitumba njwa afwate akatimize uduma.

Commentaire

Com :-Akihubiri uwongo Njwa afwate akatimize huduma -Wa katolika -Wa kiabudu sanamu "