N° 570
NINAYO SAFARI YA KWENDA MBINGUNI
1.
Ninayo safari ya kwenda Mbinguni Mbinguni kwa Baba (X2)
Refrain
Njiani muna vikwazo vinavyo kwaza wengi visiki na magogo vinavyo angusha wengi “ni nani awezaye kuviondoa vyote hakuna lwengine ila Yeshu mwokozi”
2.
Safari ni ndefu ya kwende Mbinguni Mbinguni na tena ni ngumu (X2)
3.
Ulevu, uzini, uwongo na chuki ni visiki na magogo (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand