N° 574
WALIPO AMINI WASAMARIA
1.
Walipoamini wasamaria kusikia Neno la Mungu wao akawatumia wa mitume Petelo na Yoane, kuwaombea Mungu Baba wapokee Roho Mwema walikuwa wamebatizwa katika jina la Bwana Yesu (X2)
Refrain
Feza yako wende nayo, zahabu yako kufa nayo kupata kwa Roho Mwema si katika mali kamwe (X2)
2.
Ewe rafiki katika Yesu ugeuze moyo wako acha kutenda zambi ujirike kwake Yesu (X2)
3.
Na ukiwa na uchungu kama nyongo ya kifungo, kwa maovu ya dunia wakuombee Mungu Baba (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand