JAMBO LENYE KUTUNGWA NA BWANA — Cantiques EUJC

N° 575

JAMBO LENYE KUTUNGWA NA BWANA

1.

Jambo lenye kutungwa na Bwana ndilo lifanyikalo lenye kutungwa na watu halisimame imara (X2)

Refrain

Bwana uje uniongoze niende katika raha, jambo lenye kutungwa na watu halisimame imara (X2)

2.

Bwana alinena ukweli jambo mbovu uuwa moyo auwaye moyo auwa mtu yeye atahukumiwa (X2)

3.

Mafalme zote za duniani, zitatawanyika kweli kweli bali ufalme wa Baba Mungu hauwezi tawanyika (X2)