N° 577
KULIKUWA MUZEE MOJA JINA LAKE SIMEONI
1.
Kulikuwa mzee moja jina Simeoni, alikuwa mtu mwenye miaka mingi saana aliomba Mungu kwa kumiona Mwokozi, macho yake yaona Yesu ah ah macho yake yaona Yesu (X2)
Refrain
Simeoni alilalamika saana alimulilia Mungu yoyoyo, yoyoyo unichungiye roho (X2)
Baba yangu unichungiye roho yangu yoyoyo unichungiye roho
Alilia unichungie roho yangu yoyoyo unichungie roho
Mpaka siku nita muona Mwana wa Mungu yoyoyo unichungieroho (X2)
Alilia unichungie roho yangu yoyoyo unichungie roho
2.
Simeoni alibeba Yesu mikononi alimushukuru Baba wa mbinguni alelua furaha jua yaangazia “macho yangu yaona Yesu ah ah” (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand