N° 580
TUFANYE HUDUMA ZA BWANA MUNGU
1.
Tufanye huduma za Bwana Mungu wetu Bwana wa majeshi atufariji (X2);
Refrain
Tufanye huduma za Bwana kwa nguvu na kwa furaha ili tupewe ujira kwa Bwana “(ujira) ni uzima wa milele” (X2)
2.
Tulichaguliwa katika ulimwengu ili tuwe wafanya kazi naye (X2)
3.
Sisi twajitolea tufanye huduma hata mwisho wa maisha yetu (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand