BWANA MUNGU UPENDA — Cantiques EUJC

N° 585

BWANA MUNGU UPENDA

1.

Bwana Mungu upenda babangu, Bwana Munguhupenda kwa sisi tumuhudumie yeye ili tupewe ujira “Bwana Mungu tumuhudumie yeye ili tupewe ujira” (X2).

Refrain

Tafakarini jina la Yesu mahali pote ili tupewe uweza wa kumuhukumia yakituja majaribu sisi tusiwe na hofu “bali tutazame wote musalaba wake Bwana Yesu” (X2).

2.

Bwana Mungu hupenda babangu Bwana Mungu hupenda kwa sisi tumuhudumie kwa ajili ya kutafuta wengine “(wale wote) wangali katika vifungo ili wapewe uhuru” (X2).

3.

Kazi hiyo ni ngumu, babangu kazi hiyo ni ngumbu sana mupo chui na simba wote hawa ni wakali, (wale wote) wapo miongoni mwetu ili kwa kuharibu kazi, wale wote wapo miongoni mwao ili kwa kuharibu kazi (X2)