N° 588
KARIBUNI KARIBU NDUGU ZETU
1.
Karibuni karibu ndugu zetu, kutufikia Kanisa la Kristo amani ya Yesu iwe nanyi karibuni karibu ndugu zetu (X2)
Refrain
Njooni wote, tumusifu Mwana kondoo wa Mungu alelua asifiwe ametufikishia wandugu (X2)
2.
Wandugu zetu tunafurahi sana, kutufikia Kanisa la Kristo, amani ya Yesu iwe nanyi, karibuni karibu ndugu zetu (X2)
3.
Twaona kweli mwamupenda Mungu awabariki kwa kurudi kwenu, musimuache kwa safari yenu, yeye ndie muchungaji mwema (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand