MWOKOZI WANGU MWANA WA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 590

MWOKOZI WANGU MWANA WA MUNGU

1.

Mwokozi wangu Mwana wa Mungu, nakaribia naombolezo, unichunge vema mwokozi wangu ili taabu yangu itakoma (X2)

Refrain

Alinena omba utapewa, alinena hitaji utaona, abishaye atafunguliwa kwenye mulango wa muji wa Bwana.

2.

Naja na kilio Mwokozi wangu machozi yangu yamejirika wokovu wangu ni kwako Bwana na shida yangu yote itakoma (X2)

3.

Nategemea Mwokozi wangu, kubali uwape aibu waasi wamenizihaki kwa ziki zangu kwa jina lako vyote vitakoma (X2)