N° 593
SHAMBA LA NABOTI
1.
Shamba la Naboti Abu ameuwa nafsi yangu amepanda maboga nimefariki kwa Bwana (X2)
Refrain
(Yakini, yakini) imani yako ndio wanayo yipiganisha mtu akiharibu imani yeye anabaki kituta
2.
Shamba la Naboti mujoli ficha zahabu yako utafariki damu yako mikononi mwako (X2)
3.
Shamba la nNaboti Yezebeli amefarikisha Naboti amepigwa kwa ajili ya shamba (X2)
4.
Shamba la Naboti wakamutumia Yezebeli habari leo Naboti amepigwa kwa mawe (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
(Anabaki kituta mitambazi mu shamba) imani yako ndio wanayo yipiganisha mtu akiharibu imani yeye anabaki tu tuta
Anabaki kituta kwa kukwaza wengine
Anabaki kituta ya kukula maboge