ADAMA NA HAWA — Cantiques EUJC

N° 594

ADAMA NA HAWA

1.

Adama na Hawa kubeula Bwana Mungu Masia taabu ikawajia (X2)

Refrain

(Ewe rafiki) ewe mwenye kukufuru ujiulize uishi sehemu gani

2.

(Bwana Yesu), Bwana Yesu Mwana Mungu akaja duniani rafiki ili awaokowe watu (X2)

3.

(Fikiri), fikiri vema leo upande uishipo ndugu yangu wa kondoo ama wa mbuzi (X2)