N° 595
USEMI WA MUNGU NI NGUMU
1.
Usemi wa Mungu ni ngumu saana nani mtu asikiaye ginsi anenavyo, nani mtu asikiaye ginsi anenavyo
Refrain
Kwa kusikia ginsi Mungu anenavyo wajoli wangu twandokeni wote mwilini twende rohoni « (Mungu) Mungu ni Roho tumuabudu katika roho » (X2)
2.
« Mungu ujirika namna nyingi nani ana bayana ya kuja kwa Jehova »
« Mungu yuja kwa ndoto mwana damu hupinga
Mungu yuja kama mtu yeye ona Shetani
Mungu yuja kwa jambo mtu ona ziki”
3.
Jehova bwa wetu akanena mimi ndimi mwanzo na mwisho, Mungu yuwanzia wapi na yumalizia wapi
“Mungu yu 1, Mungu yu 9, Mungu ni Alfa, Mungu yu Omega, Mungu ni Neno, Mungu ni Roho”
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Mungu yunena 1 mtu sikia 3
Mungu yunena 2 mtu sikia 6
Mungu yunena A mtu sikia C