N° 597
SIKU INAKUJA
1.
Siku inakuja, iko mbele yako (2X) angalia mujoli, utakuwa wa nani (2X)
« (Ee kweli siku ile) siku ya kutenganisha baba na mwana wake, (ee kweli siku ile) siku ya kutenganisha mume na muke wake, (ee kweli siku ile) siku ya kutenganisha mutu na mujoli wake » (2X).
Refrain
Mimi sielewe nifanye nini, dumia ina tatizo
2.
Iyo siku mojo, ya ishara ya Bwana (2X) upepo utajaa mahali pa chumba cha juu, “na Roho atashuka vichwani mwa walio wake” (2X)
3.
Furaha kwa wale, watakao shinda (2X) wao wataketi naye juu ya Kiti cha enzi (2X) na utukufu wake Mwana Kondoo wa Mungu (2X).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Nisima bwima nifundishe Neno dunia ina tatizo
Ee baba, nifunge kikwembe nitukuze Mungu dunia ina tatizo
Niende kushoto niende kuume dunia ina tatizo
Eee baba yangu dunia ina tatizo
Eee mama yangu dunia ina tatizo, …