N° 598
PAULO ALIPIGWA KWA MAWE
1.
Paulo alipigwa kwa mawe (2X) kwa kufanya uduma ya Yesu Mwana wa Mungu (2X)
Refrain
Tujitoe tuinuke tufanye uduma (2X)
2.
Paulo katika kifungo (2X) malaika wa Bwana akaja kwa kumuokoa (2X)
3.
Paulo katika Atene (2X) mutuombee kwa Bwana na sisi tuokolewe Mutulilie kwa Mungu (Bwana) na sisi tuokolewe.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Kwa kuingia Kanana Tujitoe tuinuke tufanye uduma
Ee wateule wa Baba Tujitoe tuinuke tufanye uduma
Kwa kupiga na ngoma Tujitoe tuinuke tufanye uduma
Ee vifaranga va Baba Tujitoe tuinuke tufanye uduma, …