ISRAELI KATIKA VITA — Cantiques EUJC

N° 599

ISRAELI KATIKA VITA

1.

Israeli katika vita (2X) ee miji imejiinua na watu wamejinuwa (2X)

Refrain

Enyi wanangu fanya vita na miji yote, imekujia kwa kukushinda shinda miji shinda vita na utukufu uoneka (2X)

Commentaire

Ionekane kwa Baba shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Na Kadima mu mbingu shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Na Mutindo wa Baba shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Na Philippe wa Mungu shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Vifaranga vya Baba shinda miji shinda vita na utukufu uonekane

Malimbuko ya kweli shinda miji shinda vita na utukufu uonekane, …

2.

Vita ivi si vya nyama na damu (2X) ni ufalme na ufalme vimeshindana kwa nguvu (2X)