MIMI YUBU NIMETESWA MWILINI (2ème version Yubu) — Cantiques EUJC

N° 600

MIMI YUBU NIMETESWA MWILINI (2ème version Yubu)

1.

Mimi Yubu, nimeteswa mwilini (2X) nafsi yangu imeteswa saana sijue nimuombe nani (2X)

Refrain

Nimeona ma ngombe wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Ee kanisa la mwili, wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Muke wangu nyumbani ee, amenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Ee marafiki wabaya ee, wamenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Mume wangu nyumbani ee, amenishutumu, Mungu wangu yuko wapi (2X)

Commentaire

Kweli kweli, Mungu wangu muzima ee, ujitukuze watu awa wapate aya

(watu awa) na Kadima mu mbingu ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Kweli kweli na Philippe wa Mungu ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Na Milemba wa mama ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Na mitume wa Mungu ee, ujitukuze watu awa wapate aya

Ee na Mutindo mu mbingu ee, ujitukuze watu awa wapate aya, …

2.

Muke wa Yubu, akamwambia Yubu (2X) (ee) Mungu gani umeomba wana wako wamekwisha (ee) Mungu gani umeomba mali zako zimekwisha. (2X)

3.

Yubu nay eye akufazaika moyoni mwake, tumaini lake lote kwa Muumbaji wa mbinguni (ee) tumaini lake lote kwa Muumbaji wa mbinguni. (2X)