N° 602
MUNGU ILI NENO LAKO
1.
Mungu ili Neno lako, ilitoka kwa sauti « (ee) nita tumikia Bwana maishani mwangu mwote » (2X).
Refrain
Wa ndugu tukishinda, Bwana ata tuvika taji, taji lake la ujizima (2X)
2.
Malaika Lusifero (Lusifero) alikuwa mwema saana, naye nyota ya asubui Bwana si alimutapika (ee) naye nyota ya asubui Bwana si alimutapika.
3.
Ndugu wangu wa dunia (wa dunia) awajue Neno ili « (Eh) Neno lako la uzima nilipewa kwa neema » (2X).
Refrain
Wa ndugu tukishinda, Bwana ata tuvika taji, taji lake la ujizima (2X)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Tuache ulozi, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kuombea watu, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kufanya faraja, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kufundisha Neno, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kulala mu kazi, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kupiga na ngoma, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima
Kupiga mukwasa, Bwana ata tuvika taji, taji lake la uzima, …