N° 603
NINA KIRI ZAMBI ZANGU
1.
Nina kiri zambi zangu, (ee Baba) naja kwako nitakase, « kwani maovu yanishinda ndio maana sijirike » (2X)
Refrain
Unitakase Baba, naja kwako leo Muumba wangu (2X)
2.
Maovu ndani mwangu, makufuru sija acha, “naja kwako nitakase niwe na uzima wako” (2X)
3.
Kinini kita nitenga mie na uduma wako (kweli) wala baba wala mama awawezi kunitenga (vita kali) vita kali wala pepo abiwezi kunitenga, (matajiri) matajiri marafiki awawezi kunitenga. (2X)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Ee mien a bulozi bwangu ee, naja kwako wewe Muumba wangu
Mie na misingi mbaya ee, naja kwako wewe Muumba wango
Ee mie nabuovu bwangu, naja kwako wewe Muumba wango
Ee unitakase baba, naja kwako wewe Muumba wango