MOYONI MWANGU AMUNA AMANI — Cantiques EUJC

N° 606

MOYONI MWANGU AMUNA AMANI

1.

Moyoni mwangu amuna amani, nikikumbuka siku ya kiama “itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno” (2X)

Commentaire

Ee siku ile ya mwisho itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno

Siku ile ya Baba itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno

Kwa kutenga wafalme itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno

Kwa kutenga wa chawi itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno

Refrain

Eee Mumbaji wangu, usiniache nipate aya, “kumbuka tabu na mateso yangu, uniokoe kwa rehema nisiangimee”

Commentaire

Nita tubu vizuri uniokoe kwa rehema nisiangamie

Nita acha kuloka uniokoe kwa rehema nisiangamie

Nita tubu misingi uniokoe kwa rehema nisiangamie

Nita acha ulevi uniokoe kwa rehema nisiangamie

2.

Nilipo amini uduma uyo, nikaji fanya mukamilifu, nikazarau watu wengine, ukiniacha Bwana wangu nitasema nini

3.

Ulo wako ole wangu mimi, maubiri ngapi nimekwisha pewa, uovu nao autoweke, nilizaliwa vibaya ndani ya laana

Commentaire

Ee mukizazi kya nyoka nilizaliwa vibaya ndani ya laana

Baba yangu mu chawi nilizaliwa vibaya ndani ya laana

Mama yangu mulozi nilizaliwa vibaya ndani ya laana

Mie peke muzini nilizaliwa vibaya ndani ya laana

Mu kizazi cha imbwa nilizaliwa vibaya ndani ya laana

Mie peke muongo nilizaliwa vibaya ndani ya laana, …