N° 614
TWAKUSHUKURU BWANA
1.
Twakushukuru Bwana, twakushukuru, twakushukuru Bwana wangu twakushukuru (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
N° 614
Twakushukuru Bwana, twakushukuru, twakushukuru Bwana wangu twakushukuru (X2)
Commentaire
Ukae nasi Bwana, ukae nasi ukae nasi Bwana wangu ukae nasi (X2)
Yesu ni mwanga wangu mimi, Yesu ni mwanga, Yesu ni mwanga wangu mimi, Yesu ni mwanga wangu (X2)
Sitakuacha Bwana wangu, sitakuacha, sitakuacha Bwana wangu sitakuacha (X2)
Hata mu mbingu Bwana, hata mu mbingu, hata mu mbingu Bwana wangu hata mu mbingu (X2)
Twimbe aleluya amen, aleluya, aleluya amen ee aleluya (X2)