N° 615
MUNGU ONESHA UWEZA
1.
Mungu onesha uweza, onesha uweza wako, Mungu uonesha uweza, onesha uweza wako “(ee sisi) twanena uweza wako, amboyo kila mutu (na mwili) aweze kuitimiza” (X2)
2.
Yesu onesha uweza, onesha uweza wako, Yesu uonesha uweza, onesha uweza wako “(ee sisi) twanena uweza wako, amboyo kila mutu (na mwili) aweze kuitimiza” (X2)
3.
Roho onesha uweza, onesha uweza wako, Roho uonesha uweza, onesha uweza wako “(ee sisi) twanena uweza wako, amboyo kila mutu (na mwili) aweze kuitimiza” (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand