NITAENDEA NANI NIKUPINGAPO WEWE — Cantiques EUJC

N° 619

NITAENDEA NANI NIKUPINGAPO WEWE

1.

Nitaendea nikupingapo wewe Jehava jiwe langu Jehova ngao langu

Refrain

Mungu usiwe mbali name Jehova usiniache kamwe jiwe langu unikinge unijaze rehema, (jiwe) jiwe la tegemeo Bwana uniuwiye razi (X2)

2.

Naweka moyo wangu mikononi mwa Bwana nashangilia Mungu wangu anaye niwezesha

3.

Moyo wangu usiogope uko na mufariji na muchungaji mwema Bwana kwa kila ziki zote

4.

Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka Yakobo, jiwe la mu Sayuni Bwana uniuwiye razi.