TUPO KATIKA MASHINDANO — Cantiques EUJC

N° 620

TUPO KATIKA MASHINDANO

1.

Tupo katika mashindano ya vita ya Shetani “uweza wako wewe Jehova Mungu utulinde (utulinde Baba)” (X2)

2.

Tupo katika mashindano ya vita na Shetani “uweza wako wewe Yesu Mwana utulinde (utulinde Yesu)” (X2)

3.

Tupo katika mashindano ya vita na Shetani “uweza wako wewe Roho Mwema utulinde (utulinde Roho)” (X2)

Commentaire

Utulinde Baba uweza wako wewe Jehova Mungu utulinde (X2)

Utulinde Yesu uweza wako wewe Yesu Mwana utulinde (X2)

Utulinde Roho uweza wako wewe Roho Mwema utulinde (X2)