TUPO HEMANI KARIBIA — Cantiques EUJC

N° 621

TUPO HEMANI KARIBIA

1.

(Sisi tupo hemani) karibia Jehova Mungu karibia (X2) “(ee kweli karibia Baba) karibia Muumbaji karibia” (X2)

2.

(Yesu Tupo hemani) karibia Yesu wa Mungu karibia (X2) “(ee kweli karibia leo) karibia Mwana wa Mungu uu karibia” (X2)

3.

(Sisi tupo hemani ee) karibia Roho ndambilifu karibia (X2) (ee kweli karibia Roho) karibia siri ya Mungu uu karibia” (X2)

4.

(sisi tupo hemani ee) karibia jeshi la mbingu karibia (X2)

Commentaire

(Ee kweli karibia jeshi) karibia jeshi la mbingu karibia

(Ee kweli Mikaeli uje) karibia ee Mikaeli karibia

(Ee kweli Anaeli uje) karibia Anaeli karibia

Na Gideoni uje karibia ee Gideoni karibia

Ee kweli Samusoni uje karibia ee Samusoni karibia,

Ee kweli karibia jeshi karibia jeshi la mbingu karibia, …