N° 625
MUNGU WANGU UNIONGOZE BABA
1.
Mungu wangu uniongoze Baba, Mungu wangu uniongoze sina mwengine wa kutegemea Mungu wangu uniongoze (X2)
2.
Yesu wangu niokoe Yesu, Yesu wangu uniokoe nani atachukua mizigo yangu Yesu wangu niokoe (X2)
3.
Roho Mwema nisaidie Roho, Roho Mwema nisaidie sina mwengine wa kunifariji Roho Mwema nisaidie (X2)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand